Flip domain names - Ununuzi na Uuzaji wa Majina ya Tovuti Ili Kuunda Pesa kwa Internet ndiyo nakala yetu leo.
Majina ya tovuti ni thamani ya hisa ya mali isiyohamishika (kama
vile shamba au nyumba, i.e. real estate) na baadhi ya watu kwa kweli huu unda pesa
nyingi mno kwa unununzi na uzaji wa majina ya tovuti.
Moja ya mikakati ni kutumia Google Adwords kutafuta maneno
muhimu (keywords) ambayo yana tafutwa sana
kwenye mtandao. Kisha kutumia ufumbuzi huo kununua majina ya tovuti unayofikiri
hivi karibuni yataweza kuwa yahitaji sana .
Kampuni nyingi bado hazija anza kutumia mtadoa kuendesha
biashara mbele. Una weza kuwa umehifazi jina la tovuti kama
vile ‘pesa.com’ na mtu ama kampuni furani kujitokeza ati wataka kununua jina
lile kutoka kwako.
Kampuni kubwa zaweza kukulipa pesa nyingi ili kulipata jina hilo kutoka kwako. Kwa
mfano, cpc.com, ni jina la tovuti lilouziwa Contract Pharmaceutical Corporation
kwa $200,000. Hata wewe waweza kununua na kuhifazi majina ya tovuti na kuya uza
bandaye.
Kuna faida kubwa kwa biashara hii. Fanya utafiti vizuri.
Pata majina ya tovuti ambayo unathania yata hitajika sana usoni. Yanunue na kungojea.
Yanunue majina ya tovuti kwa bei ya chini. Tafuta watu ama
kampuni zinazotaka kununua majina ya tovuti unayo hifazi. Kufanya biashara hii ya ununuzi na uuzaji ya tovuti tafuti tdnam.com na Sedo.com
Steve Wanjie
No comments:
Post a Comment