Jinsi ya kuunda Pesa kwenye mtandao kila siku ni funzo la kuteneza fedha kwa internet.
Siyo kwamba ni vigumu kuunda pesa kwa mtandaoNajua unataka kuunda pesa nyingi ili uwe tanjiri. Najua wewe siku zote ulitaka kufanya chochote ili kujisikia kama tanjiri. Ungependa Kuamka asubuhi ukijua kwamba fedha si tatizo, kama unaweza kununua kila kitu unataka kutoka nafsi kuhifadhi, kama umefanya tayari kulipwa bili yote kwa ajili ya mapumziko ya mwaka. Na mtandao ni ufumbuzi bora ya kupata hapa
Kutengeneza pesa kwenye internet si vigumu kama wewe unavyo fikiri.
- Unahitaji kujenga kitu ambacho kinaweza kuleta dola moja na kuzidisha kwa mara 1000
- Unahitaji kujenga kitu ambacho kinaweza kuleta dola kumi na kuzidisha kwa mara 100
- Unahitaji kujenga kitu ambacho kinaweza kuleta dola mia moja na kuzidisha kwa mara 10
Katika mistari inayofuata mimi nita kuonyesha namna ya kuanzisha wewe mwenyewe njia muhimu zaidi ya nne za kuunda fedha kwenye mtandao, kama wewe ni mwanagenzi (begginer) au tayari una tovuti.
1. Jinsi ya kuunda fedha kwenye mtandao kutoka matangazo ya biashara: |
- Chagua eneo ambalo lina ushindani kidogo na mahitaji makubwa (wateja wengi sana)
- Jenga tovuti au blog na kuandika makala (articles) juu yake
- Wakumbali wanabiashara kutangaza bidhaa zao kwa tovuti yako ili upate fedha kutoka kwao.
Utatengeza pesa kwenye internet wakati wasomaji wa nakala zako wanapo bonyeza
(click) matangazo ya biashara yalioko kwenye tovuti yako.Hili ni jambo linalo julikana
Hebu sema una tovuti kuhusiana na muziki. Na umeamua kuweka matangazo machache kutoka kwa tovuti za wana muziki fulani. Wewe utalipwa kila wakati mtu ata bonyeza matangazo hayo. Mfumo huo ni ‘lipa kwa kila bonyozo’ (PayPerClick) kwa lugha ya kizungu. Google Adsense ni mfano moja wa ‘lipa kwa kila bonyozo.’
Google Adsense - mambo ya kuzingatia:
- Matangazo utakayo yachagua kutoka Google Adsense yawe ni ya malipo ya juu ili mtu anapo bonyeza tangaza kwa tovuti yako utengeze pesa nzuri.
- Andika nakala za hali ya juu ili kufutia watu wengi kubonyeza matangazo yalioko kwa tovuti yako.
- Nakala zilizo andikwa kwa unstandi na zenye mafuzo tele kwa wasomaji wa tovuti yako, dizo zinazo saidia kuunda pesa kwa mtandao. Tovuti yako ninatakikana kuwa na ubora wa maudhui na siyo tu matangazo ya biashara pekee.
2. Njia ya pili ina angazia jinsi ya kuunda pesa kwenye internet kutoka kwa bidhaa
Njia nyingine ya kuunda pesa
kwenye mtandao ni kuanzisha huduma aina Fulani au uuzaji wa bidhaa itakayo
faidi watu wengi. Watu hutoa pesa ili kununua huduma au bidhaa wanazo hitaji sana . Huduma ama bidhaa
zako zita patikana kupitia tovuti yako.
Unahitaji kuwa na kompyuta ilio unganishua
na internet. Ukiwa na hizi vitu viwili unaweza kujifusa jinsi ya kutumiya
mtandao kuunda pesa haraka mno. La pili unalo hitaji ni kuwa na tovuti unayo
miliki wewe mweneye. Tovuti unayo lipia ina maana kubwa kwa wanunusi wa huduma
na bidhaa kwa internet.
Kupitia kwa tovuti yako unaweza
kuusa huduma au bidhaa ulizo unda wewe mwenyewe ama ulizo undwa na watu
wengine.
Lengo lako kuu ni kupata bidhaa au
huduma watu wengi wahitaji ama wazitafuta mno. Tafuta hizo huduma au bidhaa na
uzi wazilishe kwao, nao watakulipa haki yako.
Lakini unahitaji kufikiria namna
ya kuuza bidhaa hino. Kabla huja amua bei hapa kuna mambo unastahili kuya tafakari:
·
Hakikisha bidhaa yako yauzua kwa bei inayo stahili. Kwa nini mtu anunue
bidhaa $50 ili hali hatopata manufaa kamili ya pesa alizo tumia?
·
Hakikisha bei uliyo pendekeza wanunuzi wengi wataweza kuimudu. Yani, kila
mtu atakuwa na uwezo wa kumudu.
·
Angazia ushindani kikamilifu. Linganisha bei yako na ya washindani wako.
Je, kuna kitu unaweza fanya ili bei yako iwe nafuu kwa wateja kuliko ile ya
washindani wako?
Kama huna bidhaa yako mwenyewe, unaweza kuunda fedha
kwenye mtandao kama muuzaji wa mali ya watu wengine.
Namna zakua kuunda pesa kwa mtandao;
Gharama kwa Utekelezaji (GKU).....Cost Per Action (CPA)
CPA ni mfumo ambapo wewe hupokea malipo
kila wakati unapoleta (elekeza) mnunuzi kwa tovuti ya mtu mwenye bidhaa. Ili
wewe ulipwe lazima yule mnunuzi afanya angalau jambo moja kama vile; kuingiza
barua pepe, kununua bidhaa, kujaza fomu, nk
Unahitaji kuwa na tovuti yako mwenyewe ili uweze kuwa muuzaji wa bidhaa kwenye mtandao.
Njia nzuri ya kuunda pesa kwa mtandao ni kuwa mfanya biashara hapa kama mimi nifanyavyo.
Jinsi ya kuunda
Pesa kwenye mtandao kila siku ya tia nanga hapa.
Asante sana.
Steve Wanjie
No comments:
Post a Comment