Tuesday, December 7, 2010

Forex trade: biashara ya fedha za kigeni

biashara ya fedha za kigeni
Biashara ya fadha za kigeni inaweza kukutajilisha upesi mno ukielewa namna ya kuiendesha kwa namna inayo stahili. Kuna utajili wa upesi kwenye biashara ya fedha za kigeni kama utakuwa mtulivu kiasi ya kwaba uta yafwata magizo tunayo kupa hapa.

Forex ni biashara ya ubadilishanaji wa fedha za kigeni kwa nia ya kujipa faida nono.
Forex kwa kirefu inamanisha…Foreign Exchange… kwa lugha ya Kiingereza.

Forex ni biashara ilio na faida kubwa sana ingawa unaweza ukapoteza fedha zako usipo kuwa mwangalifu kwasababu ina kalibiana sana na ule mchezo wa kamari.

Biashara ya fedha za kigeni inahitaji ujifunze kabla uja anza kuifanya kwasababu bila maafunzo na kuifahahu vyema ni biashara inayo weza kukutiya hasara kwa muda mfupi.

Mafunzo yapatikana kwenye mtandao wa internet bila malipo yoyote na masomo yenyewe hayata kushukuwa muda murefu kuya kamilisha. Ni muhimu sana kujifunza kwanza ili kuzuia kupata hasara. Watu wengi kwa sababu ya tamaa ya fedha za haraka ukosa kujifunza na baadaye hupata hasara kubwa. Wanao jifunza hupata faida kubwa na wasio jifunza huraba hasara nono.

Ukiwa mfanyaji biashara wa fedha za kigeni kazi ni kununua na kuuza pesa za kigeni.
Wanunua kwa bei ya chini kisha kaziuza kwa bei ya juu ili kujipa faida.

Biashara ya fedha za kigeni imekita mizizi duniani kote kwasababu ina fanyika kwenye mtandao wa internet usiyo juwa mipaka ya mataifa. Biashara hii ina endelea usiku na mchana bila kusima hata sekunde moja. Biashara hii inaweza ikafanywa na mtu wowote yule mweneye mtambo wa komputa ambao umeunanganiswa na internet.

Biashara ya fedha za kigeni ina soko kubwa zaidi duniani kuliko soko zingine zote zikiunganishwa. Kila siku biashara hii ina fikisha kiasi cha trillion thelathini za Marekani. Wanoa husika na biashara ya fedha za kigeni wanatengeza faida za juu mno hivi kwaba unaweza ukatajilika kwa muda mfupi. Kazi unaifanya kwa lisaa limoja tuu kwa siku na fedha unazo zakutosha.

Makala ijayo: Je unaweza kufaulu vipi na biashara ya fedha za kigeni?


Jiunge na forex broker wa kuaminika, aliye na mtambo wakisaa, mafunzo ya hali ya juu ya bure (bila malipo) na akaunti bure ya mazoezi. Bure usajili…hauta lipa chochote kujiunga na forex broker nambali moja duniani. Tafadhali bonyeza hapa.

Shukrani kwa ajili ya ziara yako,

Steve.
How to Make a Living Trading Foreign Exchange: A Guaranteed Income for Life (Wiley Trading)

Pesa kwa internet

No comments:

Post a Comment